Tbt na umaskini (poverty n joblessness )

I remember some years back after tarmacking in Thika in search of a job I got a job in a private sec school .

Salary wasn’t good at all , imagine 5,000/= only , nikasaka keja rent was 2,500 stima na maji kado so in total no kitu 3k woiiiiiiiiiiii …

I was happy at least I had something to do rather than stay at home nikiangaliwa vibaya …

My rental just had a plastic chair , a bed , stove , sufuria mbili na sahani mbili na kikombe na my source of entertainment a small diskman n playing snake kezia in my Nokia phone .

I made sure I had plenty of unga , nilikuwa nimeiba mikembe sita za mahindi home nikasiagisha Bora nitafutie mboga .

Kuchukua my 1st salary nilikatwa nssf ikabakia 4500/= woiiiiiiiiiiii kulipa rent na expenses za plot ikabakia 1000 , hi ndio itanisukuma whole 2nd month… That month 2nd week I was dead broke no money for mboga , the 1k I had used 800 to buy a black shoes hata sikununua rangi ya kiatu … Kuna day nilifika kwa nyumba hungry n tired nikawelea maji ya ugali … Kuweka unga hiyo stove ikazima woiii8iiii nikatoanisha hizo vitu za stove pale kwa ile basin ya mafuta nikatakata slippers moja na katon nikawasha Moto ikaivisha ugali nyumba nayo imejaa Moshi was around 9p.m ile ugali nikateremsha na maji …

Next day shule nikufunza chemistry bila mxhezo telling the students wasome kwa bidii wawe walimu Kama Mimi …

Mwalimu improvise :D:D

Hapo umeongeza chumvi lakini