TBT: Masaibu ya pikipiki

Bora tu apite akidondosa ilikuwa ni motivation tosha

Hehe … mujamaa hii ilikuwa ni kama kwenda safari. Unalala kama usha prepare kila kitu

halafu? kutoka heights si images zilikuwa zinakaa midgets?

Kush hizi hekaya zako ni funny and memorable.

Siku ingine after round ya 1 mimi nikalala but huyo manzi bado alikuwa anadai. Nikakumbuka vile ulisema kwa hekaya moja, “since nilikuwa mtu wa nduthi, haikuwa shida kuamsha mzee abdalla”. Nikapinduka juu nilikuwa nashindwa kushikilia kicheko, nikalala.

Next time ukiwa hapo kencom kwa stage just turn around ucheki hio roof/ floor hapo tuju, imewekwa mitambo za air conditioning na kadhalika utaelewa.

HEEHERHERE
Crazy Kuria!
:D:D:D:D:D:D:D:D

Mimi naamini kabisa wewe ni mwenda pounding the streets of Doha. Ni vile hujashikwa. Anyways bril’ hekaya as usual.:D:D:D:D:D

hahahaaa @Kush kanono, kijana wa pikipiki

mundu muima take no umantha maliar akinda?..the Cambodian nurse said

haha kush unagurumisha na slay queen ata haziko naked
halafu nani alikuambia kukawasaki mtu huenda shot mbili
yani unatakaa kufikisha threshold na mkono ya right :smiley:

Hehe … TLS ikiwa tamu sana you do it twice

ahahah,threshold manenos

:D:D:D:D:D:D yule kijana wa pikipiki

ati uliangalia nyuma mkobolo ukawachia stima alafu the next thing unajipata kwa spitali…

:D:D:D

:D:D:D:D:D nikiwa wewe vector yangu haiwezi pita kirinyaga road ama nikipanda sana river road! Io aibu apana :D:D

nduthi battalion hujionea mambo!!
hiyo ngeus nurse haikukupatia ‘sympathy match?’

Hehe … mucakwe bado ilikuwa juu ya shock

Nice one legend… Kijana wa nduthi

Hehehe ulipona