[ATTACH=full]15005[/ATTACH] KBS ya gorofa! [ATTACH=full]15006[/ATTACH] KICC under construction, viewed from Uhuru Park. [ATTACH=full]15008[/ATTACH] Mtwapa ferry. [ATTACH=full]15010[/ATTACH] Salim Road, now Digo Road. Hapa ni Mackinnon Market author Marikiti!
TBT boss unajua n nene?
lakini hata kama hajui hiyo ni kazi poa…
MKUFUU KUJA UNISAIDIE HII NIAMBA NINI?
Kwa niamba = on behalf of
CHIEF ULISOMEA KISWAHILI CHINI YA MTI AMA OFISI YAKO IKO CHINI YA MTI NA DESK YA PRIMARY.
Davinci its on a polite note these fasihi Nazis.
Awesome…
But still…
[ATTACH=full]15014[/ATTACH]
kwani huyu van Pasi humiss mpira aje
Kama vile
Kama vile poosie ina ball humiss p’s juu yeye ni Van Pussy.
Ni vile yeye huvuta nduki. Hiyo left ikipata ball poa, lazima utatoa ndani. Ni zile kipa hujilengesha maksudi huitwa shika ukufe
@Da Vinci hauna fridge ungeweka hii TBT hadi angalau Wednesday jioni?
ngoja thursday
@uwesmake Nami pia nimehisi uchungu ulio nao. Ama kweli yapasa kuwa ‘Kwa niaba’ na si ‘niamba’.
Nina hakika ni ile kuadhiriwa na lugha ya mama.
[SIZE=6]TBT, Kwa Niamba ya @Meria Mata
[/SIZE]
[SIZE=4]mboss, pewa hii gif
https://static.dyp.im/QZvBIgkw3B/6700988214db742725e45c3cd78cd7b6.gif
[/SIZE]
Asande sana Boss
Hii truck ni KAA. wacha tu
[ATTACH=full]15022[/ATTACH]
Na hii makinnon market.
[ATTACH=full]15024[/ATTACH]
present day
[ATTACH=full]15025[/ATTACH]