3 Likes
Nimeona @sani amebeba mbisha ya Ruto
Nmeona @Mikymas juu ya bodaboda
Nmeona @ChifuMbitika na bendera ya kenya pale mwisho.
Kule mwisho kabisa utaona dwarf @wakameat juu ya mti akiimba ni maombi sio uchawi, anadhani yeye ni zakayo.
1 Like
Kusherekea politicians huwa upusi sana