Kama ulikua unawatch hiki kipindi basi jua uzee unakuandama.
1 Like
kweli yako…
nime tune heritage tv juuzi nika ona nlikua naji uliza kwani how old am i
ukapata uko how old?
nimepiga kura tym ya chesoni , kivuitu na isaac hassan
nimepiga kura tym ya chesoni , kivuitu na isaac hassan