Wangapi waliweka gazeti kwa walls za keja zao za Matope? Kwanza zile za udongo. Na Calender moja ya 1997 yenye haitolewi. Hapo kwa corner unaweka speakers ndani ya Vibuyu. Aerial imetokelezea hapo kando ya Mabati.
Ukitembelewa na mrembo anakalia bed(ya chuma) juu hiyo siku vitu hupotea mysteriously.
Halafu hapo chini ya meza kuna zile gazeti za kitambo za Drum, TrueLove, pullout za Dailly Nation za kupatia wageni wasome na pia book iko na song lyrics. Back then there was no Pulse or Buzz or Internet. Chini ya Mattress kulikuwa na playboy mbili za kusafisha macho
Kwa wall kulikuwa na wallpaper moja ya Kate Winslet(Titanic was big) Celine Dion ama Whitney Huston. Pia ungepata Wallpaper ya Rambo, Commando(Arnold Schwarzenegger) our movie heroes. Watu wa soccer lazima kungekuwa na wallpaper ya Brazil squad.
Good old days
the main agenda apa ilikuwa keja za ocha. sasa mafisi washaa anza kuitisha ma through za ozil na mesi apa… hahahahaha kweli… ufisi ita maliza wanaume
My uncle used to work for standard newspaper. Every weekend he used to go to ocha with papers za UK which had a centerfold ya a topless lass. Hizo pics za kuosha mecho ndizo zilikua zimejaa kwa cube ya kuzo. @Ka-Buda confirm kama kuosha mecho bado ziko kwa local daily
U have nailed it amigo, except the vienyejis huingia hizo keja sio kama huyu. Ni zile za vaseline, handkerchief na blown out hair (ile unatumia broken pots) with broken osungu and heavy accents