TBT in words: Sheng words/phrases we no longer use

Cuzo yangu huwa ni lazima aite wazungu ‘wangoso’ na gari lazima aite ‘moti’. Hapo unajua tu alimaliza shule miaka ya tisini. Inaonekana mwaka mtu alimaliza shule ndio mahali sheng’ yake inafika.

Nakumbuka primo tukiita mwalimu ‘odijo’ alafu ikafupishwa ikakuwa ni ‘odich’. Hile game ya police n robbers nayo tulikuwa tunaita ‘gondi-sinya’. Pande ya pesa kulikuwa na ‘kobole’ ikakuja ikaitwa ‘ngovo

Ebu fufueni hizo masheng’ za kale

Most talkers walisomea Brookhouse, Hillcrest, Banda School, Peponi na St. Andrews Turi. The only sheng word allowed was “sasa”

18 Likes

makes sense… huko ndio walipata maconnections ndio maana sasa ni mamillionaire

1 Like

Kitoe - (go away) Jikate,tamba

Finje-(fifty Bob), red (500), brown (1000),

Ponyi -(cops)

Kunyonji/kustedi - (erection)

Kufyam -(things don’t look good)

Kungethia- (not being alert)

Nikudiambo -( things are not good)

Mapuru - (sweets)

4 Likes

Kudiro kudiro- warning someone that he’s about to get busted.

Dush nyao- Sound made when gun is fired. Mostly used by kids when playing

Kabich karat kabich karat- Movement of buttocks made by someone with big ass while walking. Also called kudondosa

11 Likes

Nakung’am/Nakulola - Nakucheki
Unenge/Ubao - Njaa
Ng’och - 10cents
Oruch/Oruro - 5cents
Chongolo - garbage

Wah! hio lazma ni ya ‘tene’ - quite old

[red (500)
[/QUOTE]

red=100
Jirongo=500

Woi…hizi ni za ungwaro

5 Likes

kemfa- manzi

Kuna fisi najua bado husema “Nime-blow-ia huyo dame”

2 Likes

@Father Figure…eti ‘Hile’ game ya police n robbers? Kikamba Ina Ozil Oswahili.

2 Likes

kunyandua

During My time there was no sheng. Just the art of interchanging syllables eg
Gife…fegi
Mthama…mother
Thanika…Kanisa
Naima Ni ndaka gungi nomu…Maina Ni jamaa jinga Sana.

And we could converse without older people knowing. That’s how sheng came to be I think.

2 Likes

:D:D:D:D

Jongo = Bop/Dala,
Manzi=Mresh=Mbevo
Mandazi= Mandao

gita nawa.
hehehe…
where i came from it was called kingwami(kimwangi)

1 Like

Kusleki,
Kiruma,
Madiaba, later diabs,
Kunyonji,
Kubreki,
Dinga,
Ngata,
Sonyi.

tulipoanzisha hii wakati wa film za Factual Films- watoto kaeni chini - ilikuwa Dush ng’aaaa….i don’t know when it metamorphosised to Nyaao

[I]http://image.slidesharecdn.com/factualfilms-profile-101017072343-phpapp02/95/factual-films-profile-23-728.jpg?cb=1287300349[/I]

2 Likes

10 bob - kinday
Changaa - wanguu, thianga, mwaki