Kitambo nilikuwa mtu wa reggae damu, weekendi ilikuwa ina fika damu ina Anza kukimbia mbio sana, we would buy veve on Thursday evening ama Friday mchana alafu sherehe inaanza hiyo Friday… By then joints za reggae zilikuwa chache. So the only popular place was either Monte Carlo, Achievers, F1 ama York house. We preferred Monte ama York house because crew ya mtaani ilikuwa hizo ma area.
Then came a day beste yangu, anaitwa Steve Mandombolo (alikuwa anaitwa Mandombolo juu alikuwa anajua ku dance Lingala) akanisho kuna reggae fiti area ya Westlandz. Sasa hiyo siku veve imeshika mbaya. Steve akadai lazma tuende hivyo, sisi hao hadi westi hiyo club, ata nime sahau Jina lakini ili kuwa na walami wengi wengi hivi. Pia ratio ya ma dem na machali sio kama ile ya reggae nilikuwa nimeizoea, hizo ngoma zilinistua na nikashindwa watu wanazitambua aje hadi Wana sing along.
Nilitema taxin juu Mandombolo alisema ana meet mlami flani bizz ya maua na vinginezo. I sat on the next table with the mlami’s dem anaitwa Ashley. Sikuwa na any intentions za kwanza talk na huyo dranya. So I just tried nodding my head to the uneven rock beat. She finally decided to start a conversation and she asked me my favorite band. I mistook her question to the reggae genre and confidently said natambua UB40, before letting her utter any word I continued telling her about the Mighty culture na Israel vibration.
She quickly interrupted me by asking me what I’m drinking. “Soda ni Sawa, sitaki handas ishuke” I replied. I was getting impatient and signaled Mandombolo tujitoe…