TBT from High school days

Hii imenikumbusha siku zile tulikwa tunaingia crooked Q’s na K1 na fake IDs tukiwa high school. Alafu mnadedicatia manzi yako Ngoma kwa Kiss FM na Easy FM. Hizo siku bamba 20 ungetext dame late night SMS ilikuwa 1 bob or 5 bob :joy:

1 Like

TBT gani wewe mtoto wa 2005. Enda ukaskize zile zenu ukiiba panti za wamama kayole

Niaje shoga

Mimi siezi jibizana na mjukuu. Form ni kureform kijana

If you know Q’s then wewe apana kijana mdogo

This is what reminds me of my high school days, Achievers, Hollywood, F1 & F2, I guess we are from a different generation. King Lion sounds cassettes vs Neyo on Kiss FM on repeat? King lion wins all the time.