Ile ngoma ya yule mboiz anaimba akiwa kitandani juu ya virusi hatari… Forgot the the name…
the song that me and my missus fell in love to. she would dance the same way and i knew it was her. among other things
Rovery…hii song imenikumbusha mbali sana. UG manenos :).
mistari nakwambia
Pua kama ngumi … :D:D:D:D:D
Profesa mwenyewe
Haha hii thread imenikumbusha mbali mazee.
Mez B , (RIP) Kama Vip
MB Doggg. this guy could sing the pants off your girl bana
https://www.youtube.com/watch?v=CqAXcJjEiKE
https://www.youtube.com/watch?v=74yOUWbFvsw
https://www.youtube.com/watch?v=25iraoKR0V8
Mr Blue Mapozi :D:D
Nyambizi nakupenda japo umkubwa. Mateso ninayopata…
Hii thread usifunge bila ku include io apo
Niice.
:D:D
Asanda,you have made me smile.
Mziki ulikuwa timamu sana.
RIP my all time favaorite kabla slay kings wengine hapa kijiji wazaliwe.:D:D
Ijapokua uzi naucheki leo nashukuru its worth is .Daaamn.