hii serikali imetuamulia ,kra walikuwa kwangu ati nilipie my rental houses tax
kulipa ushuru ni kujitegemea
10% ya 200,000 per month for 2 years sio hio ni kunimaliza kisiasa?
unataka kubishana na Muthamaki? inakaa wewe ni honorary Luo
Si ungewaambia waku-exempt on account of being Jubilee’s number one keyboard warrior? Ama hao apantambua?
ndiyo waiguru azikule na zile zitabaki wajenge nazo choo kibera mababuons wazichome?
assesors ni wajaluo mtu wangu,you can imagine the malice ile wako nayo
@Wakanyama …natafuta jute bags, gunia ya makonge. Uko na deal. Na usilete wana. Nuku
Iza bana…kwanza kama hao assessors huwa Talkers pia, najua wana ubaya sana na watu wanameet hii criteria:
-Lives in/around Dagoretti
-Owns butchery
-Is a landlord
ripa mbesa ya wenyewe, si hata wewe unamarisanga tenants wako. bmesa ya erections unafikiria itatoka wapi?
:D:D:D
Hi @Wakanyama
And it will get worse, they want Safaricom to give them access to individual and business Mpesa account transactions. If Safaricom give in a lot of Kenyans will suffer. Hii ni dhuluma.
Let me guess…you have a very big order which will make you the fastest self-made millionaire. You will be interviewed by Rarry Madow. And you’ll be a celebrated sponsor!
Hii watu wako damn serious hata kuna family friend babake ako na rentals huko kasa alipata official letter
@Rarry Madowo?
Kulipa Ushuru ni Kujitegemea
Unatusumbua,mimi ka mushahara ka last month kalisimamishwa juu ya kuto declare wealth na sisumbui.
…and threshold achiever!:D:D:D:D:D
semeji wacha kujichocha nyangau wewe
soupamarket ya mtu iko kwa shida… Pole sana ankol.