Tata PTO

Saturday 2313Hrs.
The truck working overnight. Shunting murram from a quarry in Kanamai to Changamwe roundabout.
Had a new driver.
After kumwaga mzigo, PTO akaacha juu, tipping lever ndio alishukisha peke yake.
Karai ikashuka, driver akakanyanga lami kuendea trip ya pili.
Remember, PTO ameacha juu. After karai kurudi chini akaregesha tipping lever neutral. Kueka gear from Changamwe roundabout into Kibarani, karai ikaanza kuinuka.
By the time inafika kumaliza mteremko wa Kibarani, ikawa imetoa jeki yote juu , karai yote iko juu; driver na betri yake wako jaberation mbaaya hata hawanotice kwa side mirror karai iko juu.
Ikatandika daraja la reli na king’eeti ya tipper , na daraja lenyewe la kujengwa na mkoloni, Tata ikalala na kando.
[ATTACH=full]191149[/ATTACH][ATTACH=full]191150[/ATTACH]

Ikanyanyuliwa na wheel loader, ikajisimamisha. You can’t crank it, hatujui kama ilichanganya. Alafu na imemaliza upepo, miguu za diff zimejam, ikabidi::-
[ATTACH=full]191151[/ATTACH]

Hii gari last week imepoteza propeller ndogo ya diff ya nyuma. Kununua na kuweka, haiingizi gear. Flywheel imeliwa na clutch imeisha, has 100% slip. Weka clutch plate mpya, pressure plate adjustment. Now trip moja tu, masaibu mengine haya.
[ATTACH=full]191152[/ATTACH]

Ta kurogwo

Niaje meria ?

Niaje VinDiesel. Umepotea sana… salimia mrembo wa Kanamai

jaberation!!!

Poa chief. Alikataa vako zangu, hehe

Afisa nikii?

Vin dithoro. What happened uka Right Right ?

Hehe. Cheza chini mzito. What happens in Vegas…

Hakuna problem @shikoti .

askari kula hongo pole pole bila kunisumbua.Nikikuona kwa barabara nitakukanyaga!Take caution

Spot on Afande. Funny how this handle got active after it was hailed by Meria on another thread that was about petrol price kupanda, Meria akiulisia thermos itatoshea kwa 40 feet waende moyale kununua.Very Interesting.

@Meria Mata kuja kidogo ona hii maneno

Jaberation kuruka, hehe.
Unataka mafuta Rita ngapi boss?

Pole sana boss.

Ndio maana ukaniblock pia? Haisuru…bora uhai. Saitan!

Jabberation ni sato pekee nikienda kulewa Mojitos(mohitos) pare Roysambu nikisafisha mecho na fine USIU ghels. Otherwise I work from my laptop indoors so sidai mafuta. Labda unisambazie Kcr kadhaa.

Miimii? Nikakublock?

He he. No I did not. Hehe

Don’t get your panties in a twist trying to figure out who is who. Soma literature, ikikubamba dunga like. If not, click back and carry on breathing, or whatever it is you.
Yariche yasokuhusu, thuwani genu.

Ooh yaaaawwnn!! Cry me river!