Where is this? Who is this who stores gold without heavily armed security?
Situational awareness hakuna kwa hio watu yote. Attack cues ziko mingi sana but watu wamelala usingizi. Unaona wasee wanafuatana na bags kwa mgongo na wengine wanatembea na helmet na wewe bado uko hapo unasongeza draft. Halafu kuna hio doggy inaambiwa na escapee kuna ngori then inakimbia kwenda kuhakikisha kama ni ngori ya ukweli. Yaani survival instincts hakuna hata kidogo? Ningekuwa gondi hio jamaa lazima ningeiwekelea ridhe ya rasa awache ujinga.
ION, wasee hucheza draft ni maumbwa sana. Utapata msee amekaa ndee from 2pm to 7pm eti anacheza draft. Dafaq is kabuti kwanza? Jinga sana hio watu.
:D:D:D
Bonobos na uoga ya bunduki
In this short life nimekubali stealing is easy
Getting away with it is where things get murky
Wewe unasema bunduki. Kuna wasee washawahi ibiwa na guitar ya solo wakifikiria ni AK47.