45 Died here
Hapo tenje…
:D:D:D
Reminds me of showground free entry nyayo akiamuru pale 90s. Wengi walituacha
Niliponea hio kitu. Boy wangu alikua na ile season pass so plan ilikua kutupitishia through fence ya lunar park then msee anaingia nayo na kupatia next person on rotation. Kidogo tunaskia eti ni bure so nilitaka kurudi niite mbogi iingie,nilitupanishwa ndani na rende ya kibich kwa kale ka space kakuingia .Nikicheki nyuma, hako ka entrance kako blocked na watu wamekwama,wengine wankayagana juu ya wengine,hakuna kitu FFU, [SIZE=1]fossil wanatambua hio accronym[/SIZE] ,ingefanya niliona msee akitoa povu iko na damu na hapo ndio show ya mwisho nilienda