Tanzanian billionaires push into Kenya’s LPG market after court wins

Mtakubali tu miaka hii

https://www.theeastafrican.co.ke/tea/business-tech/tanzanian-billionaires-push-into-kenya-s-lpg-market-5299834

Bobu, mie namheshimu Mo Dewji sababu yeye ni mpambanaji.

Je, nawe pia mpambanaji? Una maisha? Una hela? Una demu?

Tanzania na Kenya lazima tuungane gademit. Chokochoko wacha magetoni.

unadhani nani atabenefit hapo? Kenya iko tayari kupiga biz na nchi yeyote. We even import electrity from Ethiopia and Tanzania. Nyinyi wajinga treni zenu zinakwama barabarani wakati tunatumia umeme wenu. Nani mjinga kati ya hawa wawili