Tanzania Today: Tuwe Makini – Baadhi ya Wakenya Wameharibu Kwao, Sasa Wanataka Tufanane Nao!

Tanzania ni nchi ya amani na mshikamano. Tumepita katika misukosuko mingi bila kuyumbishwa. Lakini sasa kuna ishara za watu kutoka nje, hasa baadhi ya wanaharakati wa Kenya, kuanza kuleta siasa za mgawanyiko nchini mwetu. Tuwe macho.

Kenya imepitia vurugu, migawanyiko ya kikabila, na siasa kali zisizo na mipaka. Matokeo yake ni taifa lenye uhasama mkubwa wa ndani, mashindano yasiyo ya kistaarabu, na matumizi mabaya ya uhuru wa kujieleza. Hili si jambo la kujifunza, bali la kuepuka.

Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya wanaharakati kutoka Kenya wamekuwa wakivuka mipaka na kuingia Tanzania, wakijifanya watafiti, waandishi, au wanaharakati wa haki za binadamu, lakini kwa ndani wana ajenda ya kuchochea mijadala ya kisiasa inayogawa watu.

Sheria ya Tanzania iko wazi:
:backhand_index_pointing_right: Sheria ya Uhamiaji inakataza mgeni yeyote kujihusisha na shughuli za kisiasa.
:backhand_index_pointing_right: Sheria ya Vyama vya Siasa (Na. 5 ya 1992) inazuia raia wa nje kufadhili au kushiriki katika shughuli za kisiasa au kampeni.
:backhand_index_pointing_right: Sheria ya Huduma za Habari inazuia upotoshaji kwa kisingizio cha uhuru wa habari.

Tanzania si sehemu ya majaribio ya mitazamo ya kisiasa ya kutoka nje. Hatuwezi kuruhusu “copy-paste” ya vurugu, maandamano ya kulipwa, au misimamo ya kugawa watu kwa misingi ya kikabila au kijamii – ambayo imeitesa Kenya kwa miongo mingi.

Siasa ya Tanzania ina misingi ya maadili, kuheshimu mamlaka halali, na kutetea maslahi ya Taifa kwanza. Wanaotaka kuleta siasa za mitandaoni zenye uchochezi, matusi na kutafuta umaarufu binafsi hawana nafasi.

Tuwe macho na “wanaharakati wa kupandikizwa” – si kila anayejifanya mtetezi wa haki ni mpenda amani. Baadhi wanapandikizwa ili kuharibu ndani kwa ndani. Historia ya Afrika imejaa ushahidi wa njama za kisiasa zilizoanzishwa na wageni.

Hatusemi kila Mkenya ni tatizo. Hapana. Wengi ni marafiki, wafanyabiashara, na watu wa kawaida wanaoishi kwa amani nchini mwetu. Tunazungumzia kundi dogo la wanaharakati wa kisiasa wanaotafuta jukwaa la kueneza ajenda zao.

Tanzania ni nchi ya sheria.
:stop_sign: Wageni wasijihusishe na siasa.
:magnifying_glass_tilted_left: Tuhoji ajenda za wale wanaoonekana kupita mipaka ya ushawishi wa kawaida.
:handshake: Tujenge Taifa letu kwa misingi ya amani, umoja, na uthubutu wetu wa ndani.

LAZIMA CHAMA CHA MAZUZU KIWACHE UMABAVU

SULUHU MUST GO!

Kenya ndio hu set pace East & Central Africa, na sasa tumeamua Suluhu Must Go

CCM Oyee!! Unaumia sana. Kenya is Dead

CCM Oyee!! Unaumia sana. Kenya is Dead. Ukimaliza kupiga kelele kwenye social media kwenu ukalale Kwikwikwikwi

Kenya is dead na mumejaza beggars huku wawatumie much needed foreign exchange anagalau mpate mafuta na chumvi ya kukaanagia ZeruZeru mnaochinja

Hakuna beggar wa kitanzania huko kenya. Propaganda za Mama ngina kwikwikwikwikwi

HII NI KENYAN PROPAGANDA?

https://thechanzo.com/2024/06/04/search-for-missing-two-year-old-albino-girl-intensifies-three-detained/

MNAKULA FIGO NA MAINI ZA WATOTO ZERUZERU ETI NDIO MFIKIE KENYA KIMAENDELEO.

CCM, CHAMA CHA MALAYA

Kwikwikwikwikwi