MALENGO ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ya kutaka kufanya safari za bara la Ulaya, Asia na Marekani, yako mbioni kutimia kutokana na ujio wa ndege ya kisasa aina ya 787 Dreamliner, inayotarajiwa kuwasili Julai mwaka huu.
Hatua hiyo itafanya shirika hilo la ndege kutoa huduma ipasavyo katika sekta ya anga na kukamata soko kwenye nchi za Afrika Mashariki, ambalo kwa sasa imeshikiliwa na nchi za Ethiopia, Kenya na Rwanda.
Makamu wa Rais wa Mauzo katika Kampuni ya Ndege ya Latin Amerika, Afrika na Visiwa vya Caribbean, Van Rex Gallard alithitisha kuwa Tanzania imetoa oda ya ndege moja ya 787-8 Dreamliner, yenye thamani ya dola za Marekani milioni 224.6 na itaendeshwa na ATCL.
Hivi karibuni, Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema wanatarajia kuanza Safari za Ulaya, Asia na Marekani katika kipindi kifupi na ndege hizo ni imara kufikia lengo hilo.
Alisema Tanzania ilitia saini makubaliano na kampuni ya Bombardier Commercial Aircraft ya kununua ndege mbili aina ya Bombardier Q400 Julai mwaka 2016 na miezi mitano baadaye walisaini kununua Boeing 787-8 Dreamliner. Matindi alisema Bombardier C300s, zitatumia kufungua safari za usafiri wa anga katika kanda sita za Kusini na Magharibi mwa Afrika, kwa lengo la kupata masoko hayo.
“Tuna lengo la kukamata masoko ya Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe na baadaye kufika nchi za Afrika Magharibi za Ghana na Nigeria pamoja na kutumia ndege ya Dreamliner katika safari za kimataifa za China na India na baadaye kufuatiwa na kwenda bara za Ulaya katika awamu ya pili,” alisema.
The goal of the Tanzania Air Force (ATCL) mission to make European trips, Asia and the United States, is running short of the coming of the 787 Dreamliner, which is scheduled to arrive in July this year.
The move will enable the aircraft to provide proper service to the air industry and to capture market in East African countries, which are currently hosted by Ethiopia, Kenya and Rwanda.
Vice-President Vice President of the Latin America, Africa and the Caribbean Airlines Company, Van Rex Gallard confirmed that Tanzania has issued a 787-8 Dreamliner airline, worth $ 224.6 million and will be run by ATCL.
At last, ATCL Executive Officer Ladislaus Matindi said he hopes to start European, Asian and American trips in short periods and those flights are strong to reach the target.
He said Tanzania signed an agreement with the Bombardier Commercial Aircraft company to purchase two Bombardier Q400 flights in 2016 and five months later the buyers bought Boeing 787-8 Dreamliner. Matindi said Bombardier C300s, will use air travel trips in six South and West Africa zones, with a view to obtaining these markets.
"We aim to capture South African, Zambia and Zimbabwe markets and eventually reach the West African countries of Ghana and Nigeria as well as using the Dreamliner airplanes on international trips to China and India and then following European continents in the second phase. , "He said.
Now you’re talking! That’s the way to go. Sio kuturingia yet we started flying jet engines in the 1970s, yet nyinyi mtaanza July this year 40-something years later. Hii ndio maendeleo
Hahahaha!! Hizi ni story za kizee. Eti mimi nimeanza miaka A mara miaka B? Tunahesabu vitu hivyo kwa kuangalia faida. Lengo letu ni kuchukua watalii direct kuja tanzania. Hii ni threat kubwa sana kwenu. Hahahaha!! Na kuhakikisha local transport iko poa.
By the way tunafunga radar nne
[ATTACH=full]170393[/ATTACH]
Does Air Tanzania serve the regional airports at all to begin with, who are they going to fly to and from Europe or is it cargo planes that they intend to operate?
Hahaha… Wakenya mnatetemeka mkiimagin tunachukua abiria wenu wa KQ, hata hatujiulizi Kama komptisheni iko wapi, Kati ya Kenya Airwesi, Rwanda air na Air Ethiopia. Hoja yetu ni kukusanya watalii wanaopitia Kenya wakija kwetu. Maghufuli hoyeee!! Kwa kufungulia sisi watanzania hiyo nafasi…
Ndio utaelewa sasa na siyo moja tu rafiki huo ni mwanzo. Nyingine ya pili inatua. Tunataka utalii ukue kwa kasi ya mwanga huku tukiwaacha wakenya wakichechemea hahaha
Chukua picha hizi hapa moyo wako upoe:-
[ATTACH=full]170397[/ATTACH]
Nyingine hiyo CS300 kwa ajili ya Africa.
Rafiki hatutanii endeleeni kutucheka tu mtaua maumivu baadae. Tunafanya kwaajili yetu
[ATTACH=full]170398[/ATTACH]
Sawa kaka braza, ATCL inatarajia kufanya safari ngapi kwa wiki na ndege moja? Na haya mashindano natambua hamshindani na KQ peke yake bali kuna kampuni zingine kama Air Mauritius, Ethiopia Airline na kadhalika.
Wewe unataka tuwe na safari ngapi kwa wiki? Hapo ni kwa kuanzia. Kumbuka tumenunu ndege mbili boeing 787-8 dreamliner.
Moja inaingia mwaka huu mwezi june na nyingine next year.
[ATTACH=full]170399[/ATTACH]
Halafu unatakiwa uelewa tayari ndege mbili CS300 zinaingia mwaka huu julai. Na tumenunua hizo ndege cash, hatujakopa.
Baada ya kuendelea kufanya biashara tutaongeza ndege zingine. Siyo biashara ya siku moja rafiki
an Indian airline Indigo recently ordered 530 new aeroplanes. na sijaona wahindi wakiringa vile unaturingia hapa. If Tanzania bought 530 planes si you would probably buy a page in a newspaper ndio utujulishe? Hio story ungetujulisha na kutukumbusha for the next ten years. Mara unatutisha na SGR kwani hujui tuko nayo hata ina bore siku hizi.
So you started a business without a plan, now you are asking on the streets how many flights you should be making to Europe weekly? My sincere advise is that invest in minerals, you do have them, let Ethiopia, Seychelles and Mauritius do air travel they have the capacity even KQ is struggling to match them. Kenyans criticism is in good faith not envy.
Good start, way to go for TX, Kenyans need to understand TZ is able to try this because Kenya Airways has gone down.
When Kenya Airways was flying high, it was, only SAA that looked like competition.
Now Ethiopian took over.
We had potential but our corruption had better potential.
Ndege ya kwanza hata haijatua umeanza kuongea ya pili na kupachika pichaduka hapa. Your inferiority complex is beyond repair. That’s why haturingi. Ungetuona jamii tukiweka picha zetu za 777s na 787s hapo sisi tungekua na shida. Kiwanja cha ndege chenyu ndogo kama bus station wafikiri tunajitosheleza na bongolala? Sisi twajaribu kujitosheleza na airports kama OliverTambo not those from thirdworld