Tanzania: RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE(MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA-RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE

Tanzania imeanza kuongoza Africa sasa tena:
[ATTACH=full]171698[/ATTACH]

[ATTACH=full]171699[/ATTACH]

[ATTACH=full]171700[/ATTACH]

[ATTACH=full]171701[/ATTACH]

https://issamichuzi.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-awapongeza-wabunge.html

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Tanzania imeanza kuongoza Africa sasa tena

Jinga mtanzania.

Unajua maana ya mada? Unaandika ujinga wako wote kwa mada? Tutasoma nini tukifungua uzi wako?

Tanzania tunaongoza, Magufuli atawale milele…:D:D

ii ni kenyan forum ghasia wewe

@Mwifwa na wenzako, mbona after mumehamia upande huu huyu jamaa wenu ameacha kupost threads za rais Magufuli? Kwani kulikoni?

Nipo mkuu, nilikuwa kwenye pilika pilka za sherehe na wikiendi pia

Leta picha za Sgr yenyu

Jiwe limechoka!