Tanzania News: TAARIFA YA FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN

Ubalozi unashauri Watanzania wenye nia ya kusoma au kufanya tafiti nchini Japan kutembelea tovuti hizi mara kwa mara ili kubaini fursa mpya zinapowekwa kwa mwaka husika wa masomo. Tunatoa rai kwa Watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo vinavyohitajika, kuchangamkia fursa hizo, zinapotangazwa.

Kwa taarifa zaidi, tafadhali pendelea kutembelea tovuti zifuatazo::backhand_index_pointing_down:t2:
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN: TAARIFA YA FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) | Embassy of Tanzania in Tokyo, Japan


https://www.instagram.com/p/DQ6h7k-k-PC/

poo GIF