Tanzania News: NICKEL, COPPER Smelter to Start in 40 DAYS, MAVUNDE INSPECTS INDUSTRY - Wakenya wanaumia sana

DODOMA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kusindika na kuyeyusha madini ya Nikeli na Shaba cha Kampuni ya Zhong Zhou Mining ya China kilichopo eneo la Zamahero wilayani Bahi mkoani Dodoma na kuridhishwa na kasi ya ujenzi.
Imeandaliwa na Fadhili Akida