Tanzania News: Dodoma Stadium construction has reached 2% (Tanzania kila kona inajengwa) Wakenya wananuna

UWANJA WA DODOMA: “…..ujenzi umefikia asilimia 2…”

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa anaeleza maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa michezo wa Dodoma, akianza na sababu za kuchelewa kwake…

Msigwa pia anaweka wazi maelekezo aliyopewa mkandarasi ikiwemo kutoa ajira kwa wataalamu wa ndani, kumaliza kazi kwa wakati na kujenga uwanja wenye hadhi ya makao makuu

Mtajijua wenyewe sisi tunasonga mbele

Yap Stop Talking GIF