Tanzania: MIRADI MIPYA 7 YA FLYOVERS MBIONI DAR

Serikali imesema kuwa mwaka huu itakamilisha upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu (flyover) saba katika maeneo ya Chang’ombe, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Kamata, Magomeni na Tabata jijini Dar es Salaam.

https://pbs.twimg.com/media/DVflfC_XUAA14-w.jpg

https://www.youtube.com/watch?v=dgv6xQeiC3I