Tanzania: Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu Mjini Morogoro

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu Mjini Morogoro baadaye saa nane mchana

[ATTACH=full]169441[/ATTACH]

[ATTACH=full]169442[/ATTACH]

[ATTACH=full]169443[/ATTACH]

[MEDIA=twitter]993071078896558081[/MEDIA]

Hata choo akafungie…

[ATTACH=full]169446[/ATTACH]

Safi sana… Country bus ilikuwa hivi enzi za ndoto za Tom mboya

[SIZE=4]Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufungua Bwawa la kuogelea katika Julius Nyerere international airport [/SIZE]

[SIZE=4][ATTACH=full]169450[/ATTACH][/SIZE]

Wacha kuchungulia.Login.

Wakenya wanawivu wa kitoto sana. Hahahaha nitaendelea kuwaumiza roho.
Morogoro Bus stand. Tanzania inakuja juu kwa kasi. Endeleeni sifa za kijinga

[ATTACH=full]169454[/ATTACH]

Sigwes na sigwes…

This guy is doing something!

vipi mwkepaa kodi :D:D:D:D:D:D:D

Tuna wivu na sifa za kijinga lakini wewe ndiwe umekuja kupost eti Magufuli amezindua kituo cha basi katika Kenyan website. Nani ana sifa za kijinga sasa? :D:D:D

Hebu ona ulivyo mjinga. Kwahiyo Huko twitter wanatakiwa wamarekani tu!? JF wanatakiwa Watanzania tu!!? Roho ya ubaguzi itawaua. Acheni ubaguzi ni mambo ya kishamba yalishapitwa na wakati.

[ATTACH=full]169483[/ATTACH]

One man show