Mmiliki wa JamiiForums, Maxence Melo inabidi ajitafakari kwa kutoa taarifa ya uongo katika mahojiano yake!
[ul]
[li]Amesema kuwa hawajawahi kupewa taarifa na TCRA, Je, yeye kama mdau wa media na mmiliki wa Forum huwa anafuatilia taarifa zinazoendelea kutoka kwa Regulator wake?[/li][li]Vipi kuhusu kesi yake aliyoifungua Mtwara na Helen Kijo-Bisimba walikuwa wanapinga nini?[/li][li]Katika taarifa yake juu ya kusitisha huduma katika forum yake anasema ni ghafla, vipi kuhusu wadau wengine wa media walitoa wapi taarifa juu ya kusijajili katika mamlaka hiyo?[/li][li]Maxence Melo acha kuupotosha umma kwa kutaka cheap popularity! Kutaka kuichafua taswira ya Tanzania kwa vipande vya fedha ni dhulma kwa wananchi![/li][li]DW (Kiswahili) mahojiano yenu hayako balanced, kwani hamjataka kufanya interview na regulator ili kupata proof ya alichokiongea Maxence Melo. Hata tu kufanya uchunguzi endapo kuna taarifa ilitolewa kabla kuhusu alichokieleza Maxence Melo.[/li][li]DW News this is not ethical, you are just doing all these shits to destroy the good image of our country.[/li][li]The regulator (Tanzania Communications Regulatory Authority - TCRA) should also take action on banning your media in our country, and completely ban all your allies especially JamiiForums.[/li][li]Ni kweli Max umeshindwa kulipa pesa hiyo ambayo haijai hata kibaba ukilinganisha na matangazo unayoyapata yakiwemo mengi ya Serikali (ambayo anasema inamminya kusambaza chuki) na kampuni binafsi.[/li][/ul]
Max inabidi utubu kwa dhambi uliyowatendea Watanzania, Uongo ni dhmabi hata vitabu vya dini vina tuasa.
MC4 IN BLOOD tumekuelewa inatosha wenzio tumechoka kukimbia kimbia home sweet home bwana …sheria unayoipigania wewe huijui mi sitaki nipangiwe cha kupost maana hata jiwe hapangiwi cha kufanya.Na isitoshe mazungumzo ya kupangiwa cha kuongea sidhani kama yatakuwa yanakosoa labda kusifia tu.
DW imekua against the government since day one sielewi hawa wadachi wanamtaka nini JPM kuanzia cartoons zao and everything kazi yao ni kuiponda serikali ila nao dawa yao inachemka