Tanzania kuzindua Passport za Kielektroniki (ePassport).

January 14, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Mwigullu Nchemba kwa kushirikiana na Wizara nyingine wamefanya ukaguzi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA) ili kubaini changamoto za utendaji kazi wa uwanja huo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwigullu amesema idadi ya wageni wa utalii na wanaokuja kuwekeza imeongezeka nchini hivyo watajitahidi kuboresha huduma.

Mwigullu amesema mbali ya kuboresha huduma hiyo, pia wataboresha huduma ya Passport na Visa kutoka kwenye mfumo wa zamani na kuwa wa kisasa wa Kielektroniki.

https://www.youtube.com/watch?v=3c393dPFsR8

http://millardayo.com/wmwiq/

Wazi mdau…wakenya washaongoza katika hii seckta…karibuni kwa msimu wa miaka mia moja mara ya ishirini na moja!

watanzania ni kuzindua tu kila siku,si train,city projests,$1.4birrion water project,housin,sugar, watawezana na passport kweli?

@T255 = @123tokambio

Niaje panya ya kiminini, sewerziland…

Haja yao ni kuzindua tu, si lazima ifanyike :smiley:

Jaribu kufuatilia what is going on in Tanzania. Nitakuwa nawatoa tongotongo.

Why should i? I thought those projects were supposed to help Tanzanians, not Kenyans. If they ever happen, kudos, otherwise propaganda ni kama mshuto tuuuu

Is just a news my friend. Je ni vibaya kujua anachofanya jirani?

ndio kumamayo tokomea mbali

Hahahaha.

Try and see the difference here, hatuhitaji kuskia uzinduzi, kama project ishaanza, au ishakamilika weka hizo hapa, otherwise nenda ukalete picha za mademu wa Dar, hatuna haja na siasa za magufulistan…

Hahaha sio siasa. Just news. Kwanini unawachukia watanzania?

Naskia huko bongo kazi ni tuta tuta tuta?

Chuki imetoka wapi tena kaka? Watanzania ni ndugu zetu, hata kama hampendi kushirikiana na wakenya. Licha ya hayo hamna chuki yoyote, lakini sawa tu, kwa raha zenu…

utatuletea picha za akina salma lini?

Nadhani ni psychological problem kwa wakenya. Niona wakenya wakifuatilia sana issue za wanawake. Kunatatizo sehemu fulani.

leta mbisha tusafishe mecho…

Kwani wewe ni shoga kaka, hupendi mabinti?

Ni tatizo kubwa sana. Huenda mnamaliza haja zenu kwa kutazama picha. Nimeona wengi wakiomba picha za wanawake hili ni tatizo kubwa zana la kiakili.