T255
July 10, 2018, 2:01pm
1
https://www.youtube.com/watch?v=4yjJ5Aq1k_0
Huyu ndiye George Jonas, mhandisi wa Kitanzania anayefanya kazi Boeing, aliyesaidia kutengeneza ndege mpya ya #AirTanzania ya 787 Dreamliner iliyowasili nchini Jumapili. Yupoje hasa? Safari yake ya maisha imemfikishaje hapo? Wajua alipopitia? Tazama VIDEO upate simulizi kamili ya maisha yake… #ATCL
T255
July 10, 2018, 2:18pm
4
purp:
iyo ni udaku
Kijana sikiliza interview. Achaneni na mambo ya kizamani. Wakenya bado washamba sana.
system
July 10, 2018, 2:20pm
6
Jonas ako na script kama ya our very own Grand Pricks master Mbogo
https://www.youtube.com/watch?v=vBq9xqgcxWc
T255
July 10, 2018, 2:35pm
8
purp:
we hujui chenye unasema
Tatizo wakenya ujinga umewakaa sana. Nimekuwekea video kwanini usiisikilize?
Listen the video na utajua sasa watanzania ni watu wa namna gani.
Polmos
July 10, 2018, 2:50pm
10
Kwani hatutapumua ka sababu ya hii ndege moja refurbished.
Encore
July 10, 2018, 2:56pm
11
wewe mjanja hadi ukaamka usingizini umejaza threads mtu anaweza dhani ni fleet ya boeing mia saba kumbe ni kaboeing kamoja!!
@T255 you are trying too hard. relax.we get it. YOU GOT A BOEING. loud and clear
[ATTACH=full]182679[/ATTACH]