Vipi na ule mpango wa kuzalisha huo wa upepo kule Singida ulishakufa?
Ni jambo zuri…
Opportunity ya wind mills hiyo
Kuanza kuzalisha au kuwaza kuzalisha
jambo la heri hilo pongezi kwa Serikali
Ndio nazidi kuamini kua hii serikali kweli ni ya UPEPO
Old plan for Wind Farm Power
Tuendelee kusubiri
Mipango Tanzania ipo mingi sana, shida ni utekelezaji. Hata huu utabaki kwenye makaratasi
Tunaelekea nchi ya ahadi
Sio kipaumbele cha wapigaji.
Wapigaji hubuni miradi mikubwa ili watupige vizuri.
Itapendeza sana…
Cc: @Mahondaw