[MEDIA=instagram]BiSmtgRj9re[/MEDIA]
[MEDIA=instagram]BiSl7N-Ft_Y[/MEDIA]
[MEDIA=instagram]BiSmtgRj9re[/MEDIA]
[MEDIA=instagram]BiSl7N-Ft_Y[/MEDIA]
Safi. Niaje mtanzania?
Tunafanya connection ya nchi kila kona lazima iwe poa. Njoo utembelee TZ. Very nice. Chakula kipo cha kutosha, Security ipo juu. People are friendly.
KARIBU SANA
twaomba utusafishe macho… kaka
He he…hivyo ndivyo wa TeeZee hujibu salamu kama marketing pitch?
Unatwambia tuje alafu hao askari wenyu wakiona mkenya wanatafuta makosa ya kumuweka ndani…mko na wivu sana nyinyi…hamtaki kufunzwa English na wakenya
Sijaelewa hii lugha uliyotumia. Unaweza kurahisisha kidogo? Maana ni kweli TZ ni nchi nzuri sana. Wakenya wanatamani sana kuja kuishi TZ. Tanzania ni Bustani ya Aden.
In other news enjoy this beat
https://www.youtube.com/watch?v=aoKzSzJM6yM:7
Kamilisha vibali vyote. Ukija kwa kuibia ibia utakamatwa tu. Maana hakuna nanmna nyingine. Tanzania inasemhemu nzuri sana kwa ajili ya holiday. Wewe njoo kwa kufuata utaratibu hakuna askari hata mmoja anayeweza kukusumbua.
:D:D:D:D:D:D
:D:D:D:D huyu ni mtz feki huyu
amesema, kibaya chajitangaza.
Unamaanisha nini kusema kibaya cha jitangaza?
Chema chajiuza
hakuna kizuri tz. na mko miako 30 nyuma ya Kenya ki maendeleo.
Hahahahaha!. Hebu nitajie vizuri vilivyoko Kenya vitano. Ili tuweze kufanya comparison.
Kenya ni masikini wa kutupwa. Njaa inawaua.
Habari ya leo bebi??
We cannot trust anything you post here since the fake waterfalls picture.
Safi sana. Leo umelala sana beb.
Hahahahaha!!! Tanzania is the best country to visit in E. Africa. Kenya hakuna kitu cha maana only slums.
[ATTACH=full]168782[/ATTACH][ATTACH=full]168782[/ATTACH][ATTACH=full]168782[/ATTACH][ATTACH=full]168782[/ATTACH][ATTACH=full]168782[/ATTACH][ATTACH=full]168783[/ATTACH]