Tanzania is Powerful: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.





Moto ni ule ule

Mbona unapenda kutujulisha Garbage,

Bongokamala .

Fyata bakuli brother. Hakuna mtu anajali maneno ya huko.

Tunawafundisha Modern Politics


Watch mambo makubwa ya kisiasa

https://x.com/mshambuliaji/status/1880155057158856972

Historia inaonekana

Takataka za watu