Wapi yule mtanzania alishinda kubishana mumu humu tuliposema kwamba Tanzania wako nyuma sana, wako nyakati zile Kenya ilikuwa miongo miwili iliyopita. Na Mheshimiwa Bwege ameyadhibitisha mwenyewe katika mahojiano haya aliyoyafanya na kituo cha K24 jumapili iliyopita. Amesema Tanzania iko chini sana…dakika ya tano na kuendelea
Magufuli aliweka boy wetu njee banae
dah!!!
Yaani Kiguta anaongea Kiswahili kama mtalii. Hizi ni gani tena?
Wakenya mnaujinga Fulani.
Na nyinyi mnakaufala Fulani
Nyinyi ndio saana
The thing about TZians and Coastarians is they always get As in Kiswahili Exams.
“Coastarians” don’t. Most speak some kind of slang. Only that it is spoken with an accent!
Maguphobia inawasumbua.
Tz hatukutaka democracy ya msungu… hizi mambo za multiparty zimewekwa msungu afurahi alete pesa ila Tz ni single party state kitambo
hio ndo swahili correct not the one we speak in schools
They perform very poorly in written Kiswahili. You will find that most Kiswahili teachers and lecturers are Kikuyus and Jaluos
Kwanini tuhangaike sisi tuna floow tuu kama muingereza na english yake