Congratulations to Tanzania, Jana their electric SGR was officially launched with the train taking 90 minutes to cover 300kms between Dar and Morogoro. Impressive
Nina hoja, nitashukuru mchango wako kuhusu mambo yafuatayo:
Je, Tanzania Ina katiba? Habari zipi nasikia kwamba Kuna jopo la kuikarabati?
Je, tume ya uchaguzi ni kitengo cha CCM?
TZ itaweza kubakia nchi makini iwapo itapata katiba mpya, ambayo nadhani itakua na vipengee vinavyokaribiana na vya Kenya kwa mambo yafuatayo:
Tume huru ya uchaguzi
Idara za Legislature, Executive na judiciary kuwa huru?
Unauliza maswali au unatoa maelezo?
Hebu uliza maswali sasa kama kweli unataka kujua.
Wagwan rasta
Je, Tanzania inahitaji katiba mpya? Kama ndio, upungufu wa katiba inayotumika sasa ni upi kaka?
Wewe ni mtanzaia au ni mkenya? Pia nieleze kwanini unauliza swali hili kisiasa?