NOTE; Ni MOROCCO, MISRI, NIGERIA na TUNISIA ndio wamefungwa kwenye Kombe la Dunia, SiyoAFRIKA.
Hatuwezi kubeba Misalaba ya watu sisi
TANZANIA and KENYA haijawahi kupoteza Mechi kwenye Kombe la Dunia, na haitawahi kutokea. Na Rekodi hii Haitavunjwa.
JF isharudi, wewe wangoja nini hapa kaka?
Hinjio ni maku.[ATTACH=full]179931[/ATTACH]
Kweli kabisa.It’s better not to participate and be labelled a hero than to participate and lose and embarrass yourself kama yule jamaa wa nusu mkate.
F =Football
I = Is not
F =For
A= Africans
Anasubiri uchangie huu uzi
Hii AIBU yote twaibeba sisi sote kama WAFRIKA…
Mbona hivi mwakimbia KUJISAULISHA eti nyinyi hamujawahi kushiriki katika kombe la dunia ilihali kila baada ya fainali za kombe hilo kuchezwa nchi zenyu hushiriki katika michuano ya kufuzu kucheza katika fainali zitakazofuata?
:p:p:pkila mutu abebe zigo yake. Not all African failed, samaki mmoja akioza namchomoa namtupa. Walinde heshima ya bara la Africa :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wakati wewe unataka hii aibu tuibebe waafrika wote, wenzio wanapongezana kama waarabu kufuzu #WC. Uafrika wameuweka pembeni
Sijasema ‘nataka,’ lakini ukweli in kwamba HATUWEZI KUIEPUKA hii aibu.
Kando na sisi pamoja na wao wenyewe kujitambua kama waarabu, dunia nzima inawatambua kama waakilishi wa Afrika.