Waziri Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027.
Amewahakikishia Watanzania kuwa uwanja huo utakamilika kwa wakati.
Hatutaki mtupatie ubaya. Sisi tumeshaanza.
Wapi nudes za suluhu
Naona ngozi nyeupe tu hapo. Kwani Tanzania hamna wataalamu wa ujenzi wa viwanja ama ni nini hapo
Kwani unataka uone ngozi ya kijani? Sisi hatujapitiwa na Ikweta ngozi zetu ni light.
Kwa hivyo wachina pia ni nyinyi…hapo nimetambua wakenya watatu.
Umejuaje kuwa hao ni wachina? Je, wamekuambia citizenship yao?
Yet you have stayed for how many years without a single medal? Hehehe. Viwanja mnatumia kazi Gani?
Someni muondoe ujinga.
Wazungu watakupa data vile wanavyotaka wao. But kwa ground tunajua mko chini kifikra. Akili zenu ni za form 6.
Tupo 2024 kijana. Kumbe bado unaongelea 2018.
The world does not go back, it moves forward