Tanuki about to wash people

Kama you know that gaijin with a GTR ameanza kuongea story za forex and people are about to see what odysseus saw when he went to the cave.

Hes the Japanese guy alikuwa anapima Petroli juzi akaambia watu wawache kuweka Vpower… Which I used to tell people but hawasikii.

Kenya watu wanapenda pesa ya haraka.

3 Likes

Huyu Tanuki kwanza akuje hapa Sosiani we see a showdown between GTR vs 1,000+hp 2JZ Celica.. naskia kanairo nobody can touch him.

1 Like

That Jap Tanuki anataka tu ‘kurudisha mkono’ kwa wakenya wetu waaminifu na watulifu…si yeye aliteta juzi kwamba amejaribu kufanya biachara na wakenya kadhaa kama @Wakameat @johntez_addi_gaza_ms na @Yuletapeli lakini walimkaribisha jiji la Nairofi akatii. Anataka kupiga watu moja safi alafu ajikate Osaka.

5 Likes


huyo jamaa ni Japanese ama korean?

1 Like

The fact you can’t even tell different types of Asians apart must mean you’re from a slum.

2 Likes

Listen here wee msenge just because nimekosea his nationality doesn’t mean I was raised in a slum you dog, so what?

3 Likes

You cant tell different types of White people apart.

1 Like

I can actually, just based on their accents. European accents stress consonants (kizungu ya meno), American’s vowels (kizungu ya mapua), Australians somewhere in between but will always make jokes. That’s how I negotiate lanye fees.. the rich guys pay extra.

Physical appearance you cant. Same way you cant tell which Asian country Tanuki comes from because he doesnt have an Asian accent.

1 Like

Tanuki is from Seoul, South Korea or a similar sized city. You can tell from his driving style he’s been to different countries, so most likely diplomat connected. Unlikely there’s wash wash coz 222 exists.