Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) katika vipindi tofauti kati ya mwaka 2017 na 2018 imeendesha kesi mbalimbali zinazohusiana na Utotoshaji au kukutwa na madini bila kuwa na kibali. Katika uendeshaji wa kesi hizo,Washitakiwa walitiwa hatiani na kuamriwa kulipa faini aua kutumikia kifungo gerezani pamoja na amri ya kutaifisha madini na fedha walizokamatwa nazo wakati wakisafirisha madini hayo. Madini yaliyotaifishwa ni Kilo 25.546 za dhahabu, zaidi ya kilo 76.020.20(Tani 76) za Colored gemstones, Tanzanite pamoja na fedha za kigeni za mataifa mbalimbali kumi na tano (15) zenye thamani ya TZS 1,023,608.515.12
NB:
Price of Rubellite is $400 to $1,000 per Carat
[ATTACH=full]245514[/ATTACH]
Tani 76 = 76x1000x1000x5 Carat
= 38,0000,000 carat
38,000,000 x $600 = $228,000,000,000