Niliamua club nitakuwa naingia saa nne usiku.
Sasa nko hapa club waves… Tom mboya strt.
Kuna jamaa nimekaa nawao kwa meza… Amekamuliwa wallet ni kunguru anaona nikiitisha zangu tusker lite inamkumbusha a good boy he used to be.
Btw amejitoa kunguru nayo ikadai hiyo chupa yake ya Guinness irudishwe aletewe snap akitegea mbirrionaire mwingine.
Ni hayo kwa sasa