Tamu sana ya Christmas!!!

Merry Christmas elders. Mimi zinanishikia hapa kiambu…shoma na Rats… @Abba na @Simiyu22 kujeni tukunywe muratina. I bet my left nut hii inalewesha kushinda busaa. @magreb na @Electronics4u karibuni…iko 60 litres.

[ATTACH=full]486621[/ATTACH][ATTACH=full]486622[/ATTACH][ATTACH=full]486623[/ATTACH]

MITHERUKIO!!! :D:D

Hiyo jina @M.K ni copyright?

Sijawahi elewa mbona watu wakubwa huvaa Sneakers. If it ain’t for Sport/Health reasons ashana nae.

Tunachemsha mitura na ngorima na vichwa

Ghaseer you wanted me to wear a suit, tie and official shoes,? Mbona mnapemda kuchambua mapicha na kutafuta makosa…i knew lazima mtu atafute hitilafu…:D:D:D

Hii sasa ndio trade mark yangu ya ebrufication

I just found out who you are…henyway sherehekea responsibly

Kuja tukunywe

umebakisha yello yello waitherero christmas iwe complete

Kwani sausage Party? Tafuteni madem.

Nitumie kakitu Kwa M-PESA ama nikuanike hapa

Nianike ghaseer…

Gaseer i asked you kitambo about that smartphone joystick in ur profile picture nawezapataje

Hapo sawa. Merry Christmas. Enjoy hiyo choma.

Safi sana

Hehe shifo kwani uko hapo

Hizo sneakers ni zile hupeanwa kutoka majuu kuja kusaidia the needy around.MK umefanya nini?

Si kuna sneaker casual.Hizo zi valiwe when?

Eeh