Tamambo karen blixen

So i am a chauffeur for a travel and tours company, and jana was assigned a jungu couple for a visit to the karen blixen museum, never heard of the place until jana. Siku ikaanza vizuri, pick up pale radison blu upper hill kitu 1100hrs, sisi hao langata road hadi that place, google maps to my savior sikupotea.

Charges were 1200 for foreigners and 600 for locals, these jungus insisted i acompany them so sisi hao kuona 100+years old house and some coffe machinery, luckily i was not charged entry coz mimi ndio niliwapeleka apparently, saw this hot mama a tour guide, later took her digits and managed to smash that ass(story for another day)

Tour ikaisha wakasema njaa inawamaliza, there is a joint just nearby by the name tamambo, wakasema we walk to the place since it wasnt far and atleast waone the environment,

Kufika pale tunaulizwa kama we have reservations, no was the answer, tukapewa some table in the open, kuosha mikono ni vitambaa steamed in eucalyptus solution,( atleast this part i was farmiliar with)

Menu kukuja sijui chochote imeandikwa pale, sasa kajasho kanaanza kutoka, naogopa kuorder niletewe crabs, so i asked fr fries, and a coke, claiming sina njaa vile that i wanted something light

Waiter round one akakuja na mikate, zinakaa burns and some crunchy sticks like stuff, me najua mkate ni ya chai, the whites wakararua mikate pale kavu, wanadip in some white paste, sijui ilikua nini,hiyo sikugusa, Kidogo kidogo crisps zikakam, mixed in some vegetable salad, jungus ndio hao, kuchimba tu sahani, wakainsist i join them, kuonja that shit ilikua tamu, got carried away nkakula mob kuwashinda hata lol… Nkaanza kuangaliwa vibaya na watu wamekaa next table

Sasa fries kukuja man ziko countable, hata my 5yrs old kid hawezi shiba hizi vitu, nikajikaza kama boychild nakula polepole nikifwata pace yao, nmebakisha like three sticks hata watu hawajafika halfway, ikabidi nimechorea kwanza, nikaendea zile mikate zilikua tu hapo, atleast ikapass time, food kuisha waiter akaclear table, then akakuja na menu, nkashangaa form ni gani, kumbe kuna sijui dessert, jungus wakaitisha vitu sijawai ona, turn yangu kufika ikabidi nmeitisha tusker baridi na kukanyagia stori.

Finally tukaleft nkawarudisha kwa hoteli, ilibidi nipitie mama kibanda chapo dondo coz ile njaa nilikua nayo… [ATTACH=full]144701[/ATTACH] [ATTACH=full]144702[/ATTACH] [ATTACH=full]144705[/ATTACH] [ATTACH=full]144708[/ATTACH]

23 Likes

My default setting is Chicken and some starch I.e vegetable rice if I doubt the menu.

5 Likes

Hizi places unaita waiter kando , esp. kama ni chali, unamwambia aku advice kitu mwafrika atashiba, they normally come thru.
Lakini hapo mimi sijui ni museum gani watu huenda kuona, a very kawaida house, na farm machinery museums of Kenya wame allow zichapwe na jua na mvua zimeoza zote. Was there for a wedding na kulikuwa kumejaa watalii wazungu na hizo tour vans, heck some even crashed the wedding lunch

22 Likes

jenga mwiri haripu china

4 Likes

how/why would you take alcohol while working?? especially driving?? unaweza kuwa umepotezea kampuni wateja.

***is ur employer IATA accredited?

9 Likes

The jungus were the best, plus they didnt mind, plus it was tusket lite

1 Like

Nitupie thrupass ya ka Madam kamzungu nitombe

4 Likes

is the company you work for IATA accredited?? nataka kujua kama naweza nukisha kitunguu huko pande za BSP…

Walicrash wedding, walitaka kusample local cuisine ama ilikuwa njaro ya kusave doo? I agree those machines zimechapa.

1 Like

Kuna nyama ziukaa mkate hivi unaitisha na chai lakini ukiuma bite moja hivi, unashangaa form ni gani na macho umekondolewa.

1 Like

No idea, I thought walikuwa guests wa the groom, later ndio niliambiwa waliji invite

2 Likes

Hapo ndio unaitisha ugali managu na matumbo. Wakisema hakuna unauliza wako na nini. Alafu utranslatie mzungu uwaambie vile wewe hukula real food. Unaweza endelea kunukisha kitunguu wakikikuuliza place kuna real food.

2 Likes

The history behind the place. It’s not much but you know wazungu value individuals that left a mark.

1 Like

A beer after lunch is no big deal especially for Scots

Give me a shout Next time you are in that neck of the woods

2 Likes

So ulibinja huyo tour guide ama haukubinja?

2 Likes

haha hio sheng jo ya kitambooooo

6 Likes

Much better :D:D:D

Hehe uyo ni @kush yule mnono huongea iyo sheng

1 Like

Never drink on the job again, you never know when you will be involved with a tight ass mzungu. Kidogo kidogo uko buyers beware na unaingia safari ya full throttle peasantry.