mko wapi?mimi niko kahuruko bar
Wrong forum… Bar hufungwa saa tano… You got exactly five minutes to pack!!!
Wewe huingia dame/chali na CD ama ni nyama kwa nyama?
mwenyewe ni polisi na tunakunywa na mapolisi
Wewe huingia pub na panga, kama maasai? Ama unakatazwa
Ulipatia dem date hapa Saape TRM, alafu anakula air burger.
[ATTACH=full]19698[/ATTACH]
saa hii niko na kimathyokore
:D:D:D:D:D:D:D
wakameat chinja hawa watu
huyo ni @Nefertities
Chali ni aunty yako.
[ATTACH=full]19699[/ATTACH]
Wali watch arsenal match bila hata kubuy maji. Nkikula half time snack (fish fingers ivi) wanameza mate.
@Akeelah, my bae nakuja
hio inatoka pesa ngapi?
hehehe
600:D:D
hio avatar ni ya kaploti yako
he he he,hio sio bei kali sana,siwezi nunua imepitisha 1000
hapana hapo nimeanza kazi ya care taker juzi
i dedicate this song to my lovely Akeelah,it’s real love, by dolly and kenny roger