Ile njia ya kwenda Narok imeshikanishwa.Nafaa kuwa Ololunga kesho saa tatu
Kuna truck imejackknife Mai Mahiu, jam kuruka boss, toka saa hizi
Hiyo ndio nini??
Kujipiga Kofi.
[ATTACH=full]163416[/ATTACH]
Nilipitishwa Naivasha.All this time kama nimelala.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D