Talkers mume kanyagia hi story ya huyu kifaranga...

[ATTACH=full]141675[/ATTACH]

Dan wanyama of webuye west ( Jubilee) ame ambiwa yeye ni kifaranga ya computer na courti …one mongrel down 5 to 6 more to come

Kama ni MCA, that’s local News, hiyo tumawachia Webuye Daily .

Ni mp

Kumbe Jirani huwa reporter pia
[ATTACH=full]141678[/ATTACH]

My bad, then, that’s National news, who was the presiding judge ? ? ?

Mwangi wa iria

:D:D:D:D

[ATTACH=full]141680[/ATTACH]

I assume he might still clinch the seat, but time will tell if he was kifaranga

Ohh prissss :D:D:D:D:D:D

:D:D Jinga

Niaje mwizi wa gazeti

ngumu

I’m sure the case had other merits.
Hii ujinga ya vifaranga is a creation of Raila that his gullible supporter swallowed.
If that’s the basis in Wanyama’s case, Court of Appeal will have a field day overturning that decision.

nilisema mara mob MP wote wa jubilee western waliibiwa kura , ngoja muone maneno

Waliibiwa kura juu?
U thinking straight boss?

lakini si case ya Govt Chief Whip Maj.Hon Washialla ilitupiliwa mbali.

Washiali ni musito, tunaendaga kanisa moja pale mumiasi

This is fake news. No such ruling was made

Who is that guy behind him…wueh…na si amekunja kasura…