Asanti kwa kutaka kuninukishia kitunguu lakini mimi ni mtu wa ofisi 8-5 suit and tie nikimaliza job naingia ulevi.
hapa nimeelewa tu anaishi Karen
Si uliniambia uliacha kunywa pombe kila siku mathice?
Mimi nikakuambia?
Tukiwa wapi na tukifanya nini?
Kwa thread fulani apo. But hata naona ulieleza saidi apa…
[ATTACH=full]208143[/ATTACH]
hatutaki kujua kile mlifanya
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Nikaita uber driver Mathais akuje nampiga spanner ya kichwa.
‘Go home and do Constructive tasks’ bado ni kulewa ama @Mathaais
:D:D:D:D
Wacha ata mimi nicheke.
kufika kayole ni mangapi mathighs