Huyu nimempea 5 * leo asubuhi
[ATTACH=full]208082[/ATTACH][ATTACH=full]208083[/ATTACH]
Huyu nimempea 5 * leo asubuhi
[ATTACH=full]208082[/ATTACH][ATTACH=full]208083[/ATTACH]
@Mathaais kuja kidogo.
Good job @Mathaais
Sielewi, mathighs amepewa token ya 5k ama namna gani?
Hehehehe, na tip ulimdunga?
I think ni rating.
Hapo sawa @Okiya
Mathias Maathai from Maathais.
@Okiya buda shugli gani zinakupeleka Muthangari drive? Inakaa you rub shoulders with creme dela creme of Kenya.
:D:D:D:D
Nilikuwa nimeeda slimming session hapo VLCC. Hizi 107 kgs zasumbua
[ATTACH=full]208114[/ATTACH]
Hehehe Tip …ama wacha tu
What ritual is this where you cover his eyebrows?
Hataki kuanika @Mathaais
Kichwa tu
nini inaendelea hapa
@uwesmake hujawacha kuendesha bodaboda?
Mimi na Uber hatujawahi patana.
:D:D:D lucky you… Mimi nilisoma 5 inches n was shocked…
Karen hadi JKIA ni ngapi mtunguyaz?