Talkers in Juja/Ruiru/kasarani/Thome

Hii siku imekataa kuisha. I need a drink lakini sina company. nani ako karibu hizo areas tupatane tukunywe moja?

moja??..moja???

Uko wapi

confirm kama wewe ni mama shaito…

Yes, moja. Mzinga.

Juja.

I don’t even know her.

Juja where

Chungeni sana ama mjipate pabaya
[ATTACH=full]117536[/ATTACH]

Niki carwash hapa kasa, harakisha club inafungwa saa mbili

Mbona umeruka watu wa Githurai

Mimi nahifadhi kura yangu am back home early ndio kesho nitoke ngware na +1 yangu.

Wa Githurai sio watu

Niko home. natafuta fomu.

Hehehehehehehe. I see a wolf in shep’s clothing.

Which carwash? Ile ya kwa wa-kalucy ama ile ya hapo seasons?

Githurai sigwes na sigwes.

Wa kalucy

Nakuja hapo in 15 mins. Juu ama chini?

Chini

@aviator ule kijana wako bado ni fundi wa radio??

Tangaza uko wapi nkam tujadiliane mambo ya ule niece wako MFW.

Niko Sportsview. Kuja

Kuja milele hapa Garden estate

Nasaka parking. Look for a guy in a grey T-shirt who’ll enter in a few mins. That’s me.

Sina kijana Mkumbwa. :D:D

Carwash, Kasarani. Kuja.

Am coming after my 2nd beer. Umevaa aje?

Nimekwama Kasarani.