Talker takes selfie with UK

Leo UK akiwa kanisani huko, muteero a talker who is jubilees number one supporter in Kenya talk managed to take a selfie.
[ATTACH=full]68754[/ATTACH]

Unafikilia ni nani?

2 Likes

@spear kuja hapa, Kwanza toa suit uvae gumboots

@Ruffneck

5 Likes

Jakoyo?

7 Likes

@Jakoyo hawes kubaliwa within 100 meters of UK

5 Likes

@Nattydread ?

3 Likes

Wapi @Jirani aseme on a vile kinashine meno?

3 Likes

ningesema @Wakanyama but sidhani anajua kutumia smartphone

17 Likes

Aki kuna watu hukazana kupiga maselfie na VIPs na wana sura kama crossbreed ya crocodile na mende (crocroach?) Lakini sina ubaya na mtu.

1 Like

@Wakanyama first of his name, pure blood and defender of uthamaki

7 Likes

There you go again

Must be @wamathuraku

Rubbing shoulders with the likes of WSR , Uhuru ,Raila , MaDVD , Kalonzo is not a milestone for me. These are just thieves who are revered within their ethnic kingdoms. Some of them are perpetrators of genocide.

12 Likes

Kwanzaa hako wsr Mwizi sana

Hapa haikosi ni @Deorro ni vile hajui UK ni wa chama gani.

4 Likes

Hehehe

Shots fired

2 Likes

He he he…yaani H/science graduate huwa clueless hivyo?

3 Likes

Natty alitoka .ke 3 weeks ago. Anafreeze manyee kwingine.

4 Likes

@Wakanyama hajavaa suti tangu azaliwe. Yeye ni apron na gumboots. Na ananuka taatha hata akioga na maji moto.

3 Likes

Huyo ako hapo juu ya Desmond tutu look alike sio @Jirani

1 Like