[MEDIA=twitter]1639996459528364033[/MEDIA]
Makomeno.
Murkomen ni mshamba amepata power/pesa very deadly combination
Nilijua Murkomeno hutumia hio kichwa yake kama warehouse ya meno
Murkomeno ni clout chaser pia ,hio ghaseer ni Ile ulikua inapika ugali tiktok ni Kama imeinvent combustion engine yenye haitumii Oxygen ikiflaunt meno refu
Hawa watu wa media si waseme jina mara moja wawache hii upuss mingi
The docket ya murkomeno ni pesa tupu