TAKWIMU/statistics la @Gio

Tangu @Gio ajulikane kuwa yeye ni vuvuzela bali si radi wa kiukweli. watu wamemtoroka kama shimo la @Web Dev .
hanaubaya huyu kaka gio. tumtukuze

[ATTACH=full]53186[/ATTACH]

So what?

GIO WANKER

@Shahid kuwa na huruma

Hii wiki haujatwambia chenye Rais Magufuli amefanya… Unazembea kwenye kitengo cha propaganda

magufuli hoyeee!

@123tokambio Umeshajua kuwa Rais amewaagiza wajumbe watumie vitz. Hii wiki mambo ndio hayo. Akili yako polepole yanafunguka kwa kujua mambo ya TZ .

magufuli hooyeeeeee

Wait, I didn`t post that at4:47 am ama nikija Tanzania nitapata jetlag?

Huku morogoro Mimi ndio kusema . Hapa ma dada ninawaangusha na sio mchele. Mapeni na ujanja Kama kaka sungura. Kekekekeke

Chokochieth vipi

:D:D:D

si aagize tu watumie jingcheng jangili mara moja