@olmonkey ile probox yako itabidi ueke gunia ya mawe kwa boot coz Jo!!! itabebwa na maji…Nimetoka isich na situation ni noma huko…naenda kuuza mavuli pale ngara.mwanaume ni hustle
Nilikua Inda,huko nako ni kwingine,mchina amechimba,ni vidimbwi everywhere
[ATTACH=full]20599[/ATTACH]
Hata kwa station they are taking full advantange of El nino
na wewe ni v.e na una recycle pic ya 1604
Sikuwa najua ni picha mzee. I guess ntapitia thread zote sasa.