Take It Easy

Najua maisha imewapipinya makeii kama uuuumbwaaaa. Lakini nataka kuwaambia Take It Easy. Mambo ni bole bole. Hakuna haraka. Na hivyo ndivyo ilivyo. Bole bole. Tulia. Relax. Take it easy. Pressure isikumalize. Kasongo bado ata hajaanza kuwapipinya vile inafaa. Tulieni mpangwe. Take it easy. Na mjue yeye sio wa mwisho kuwapipinya. Hata mwenye ataingia after Kasongo bado mpango ni ule ule. Kufinywa ni constant. Hiyo ndiyo hali ya maisha wadau. There’s no other reality other than kupipinywa makeii kama kawaida.

U

1 Like

Elder you must be struggling with your life in the yues ndio tu uketi chini na ku type maneno kama hayo hapo juu.

Najua handwriting ya mtu anateseka…
One hauna mdem huko, hauna mabeste, pesa inaenda kwa tax, unakula junk food.. hauna savings. Unaishi kwa nyumba ya wazee.

Fungua roho, tukufanyie kenyans for kenya sahi sahi. Niweke paybill ama namna gani

7 Likes

Wacha nitume pay bill na mtume ya kutoa.

1 Like

Ulifanya zoezi lini mwisho

Push Pull and Legs 5 days a week ndio program yangu.

1 Like