3 Likes
ati Taiwan teens upgrade their phones every two months…
Hio game hao wasee wanacheza inaitwaje? I have seen many German teens play that game in cyber cafes…na saizo zime concetrate mbaya sana…ear phone maskioni alafu zina click click mouse
EDIT:
Nimejua jina ya hio game…ni league of legends…rewatched the video again…sasa hii game naweza cheza kwa laptop yangu?
Hii yeah but inakaa inatakaa uwe net ndio uweze kuenjoy
1 Like
Sasa huyo si anaweza kuwa phone seller mkali